iOS Calculator: How was i never informed about this?

Jorge WIP

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
3,567
Reaction score
5,359
Calculator ya iOS nilikuwa nalaumu sana kuwa ina functionalities ndogo kama za primary haionyeshi equation. Nilikuwa silizishwi nayo iko kubwa na haina hata sehem za marekebisho yaani namaanisha kufuta ukikosea.

Leo nmeona meme reddit inazungumzia hicho kitu kuwa unpopular opinion kwamba iOS calculator ni mbaya ila ukigeuza simu yaan ukiweka Landscape mode inaleta functionalities zoote. Nkashangaa kwanini sikufahamu iki kitu siku zote hizi, mbali na hapo nkagundua ios wameweka system yao tofauti sana, kuna ile user experience ukiizoea hutoki










 

Attachments

  • IMG_9015.jpg
    29.6 KB · Views: 9
  • IMG_9014.jpg
    23.7 KB · Views: 9
  • IMG_9015.png
    36.8 KB · Views: 10
  • IMG_9015.png
    36.8 KB · Views: 9
Kwenye calculator ya iOS huna haja ya kurotate pindi ukikosea namba, fanya kuswipe kwenye hizo namba unazotaka kuzifuta, swipe from left to right utaona namba zinajifuta moja moja..

Take it from me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…