Mpaka Leo upo kwenye iOS 7.2.1 inashangaza coz tupo kwenye iOS 8.1 sasa.na usiogope ku update iOS pangu wapo kuhakikisha kila iOS mpya inapiga kazi vizur katika upande wa cydia tweak. Kwangu mimi sioni umuhimu wa ku jailbreak sababu nilikuwa naifanyia jail breaking iphone ili nipate paid apps zote bure. Ila sasa naweza kupata bila hata kujailbreak.
Mzee hapa umenishika pabaya Je nawezaje na mimi kujipatia hizo paid apps free sababu na mimi hapa bado nasitasita kuivunjaa hii yangu, Ahsante