iOS 13 imetoka Leo (Official)

Trainer

Member
Joined
Dec 28, 2018
Posts
89
Reaction score
75
Kuanzia iphone SE , 6s ,7 na kuendelea sasa unaweza ku update device yako kwenda iOS 13 moja kwa Moja kama uko na wifi . Kwangu inakuja 1.7 GB.
 
Kuanzia iphone SE , 6s ,7 na kuendelea sasa unaweza ku update device yako kwenda iOS 13 moja kwa Moja kama uko na wifi . Kwangu inakuja 1.7 GB.
Kwangu 3.1GB daaah
 
Huu mchezo mie unanikera sijafanya muda mrefu [emoji83]
 
Mimi nini 13.0 na naambiwa device ipo up to date ila Wengine naona wana 13.1.2. Kuna nini hapa kati?
 
Mimi nini 13.0 na naambiwa device ipo up to date ila Wengine naona wana 13.1.2. Kuna nini hapa kati?

Hao wana tumia beta version ya ios. Yaani waliweka ile trial/developer . Ila official release ipo kwenye 13.0 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ