Interview za Utumishi

Shyshii

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2013
Posts
439
Reaction score
543
Habari wana jamvi, swali langu kwa waliohudhuria leo kwenye interview ya leo pale DUCE, je nini maoni yako na wewe kama wewe unaweza kuielezeaje?
 
Nenda kajipange tena halafu uje maana hatahujui unataka nini
 
maoni yangu ni kuwa next time usome sana madesa sio umemaliza chuo miaka 7 iliyopita then unakwenda DUCE au Mwalimu Nyerere bila kusoma
 
DUCE walishafanya interview? Majina ya walioitwa interview yaliwekwa wapi? Au walipiga simu?
 
DUCE walishafanya interview? Majina ya walioitwa interview yaliwekwa wapi? Au walipiga
simu?
watu wengine huwa mnachekesha sana.. kwani tangazo la kazi walitoa wapi hadi uulizie habar ya kupigiwa simu???kiufupi PSRS hawana utaratibu huo wa kuwapigia watu simu kitu ambacho unatakiwa ni kuwa current na tovuti yaoo.......wenzio wanadiscuss usaili ulikuaje we unaulizia majina ya Interview wameyatoa wapi
 
Mi nilibahatika kuitwa kwa post ya cooporative officer, but kutokana na sababu zilizo njee ya uwezo wangu sijafika...vipi usaili ulikuwajee
 
Mi nilibahatika kuitwa kwa post ya cooporative officer, but kutokana na sababu zilizo njee ya uwezo wangu sijafika...vipi usaili ulikuwajee

USAILI ULIKUA MWEPESI SANA NDUGU USIPOPATA 95 UNA MATATIZO YA AKILI BORA UNGEKUJA HAYA NDIYO MASWALI.





1.Differences between Qualitative and Quantitative Research


2. What is Sample?

(b) mportance of Sampling


3. Cooperative society members obligations

4. Ways to Manage Cooperatives for a betterment.



all Questions carry equal Marks

Answer all questions

Write your name here

Signature

Time (40) Minutes.
 

Kuna hizi za juzi. Nilifikiri ndo zinaongelewa hapa. Ndo maana nikashangaa ikabidi niulize.
Kumbuka kuuliza si ujinga mjomba.
 
Tatzo linaweza kuwa mda mkuu ila pepa inajibika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…