Interview ya Posta........

Starkwood

Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
62
Reaction score
25
Habari ya mchana wanajamvi. Samahani, leo nimetumiwa email kuitwa kwenye interview ya posta post ya postal controller! Mwenye taarifa zozote juu ya hili shirika na interview zao zinakuwaje. Tafadhar msaada
 
Mara nyingi huwa wanakuwa na interview mbili, moja ni written and the other one is oral....both on the same day...
 
Habari ya mchana wanajamvi. Samahani, leo nimetumiwa email kuitwa kwenye interview ya posta post ya postal controller! Mwenye taarifa zozote juu ya hili shirika na interview zao zinakuwaje. Tafadhar msaada
ivi walisema interview jumamosi saa ngapi please naomba msaada wako
 
Samahanini wadau ninaweza kupata msaada wa mtu kunisaidia kupost ili kazi ya postal controller gualifications na rensponsibilities za postal controller.
 
za asubuhi jamani?nimeitwa oral interview ya postal controller post ,wenye uzoefu maswali yao ya oral yanakuwaje ,help me pls na mtu ambae ameitwa kwenye oral intrr the same post tuwasiliane kwa 0717400039
 
je kwa wale waliiimba nafasi ya auditor ii. Waneshapigiwa simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…