Point muhimu sana hiyo kuiweka akilini mwakoMi cha kukushauri siku nyingine unavyoomba kazi or ukiitwa interview usipende ndugu wajue...wajue tu watu muhimu na kwenyewe kuwe na ulazima mkubwa wa kujua
Kwani mkuu ndugu wakijua kuna ubaya wowote, nauliza tu mkuu???Mi cha kukushauri siku nyingine unavyoomba kazi or ukiitwa interview usipende ndugu wajue...wajue tu watu muhimu na kwenyewe kuwe na ulazima mkubwa wa kujua
Mkuu vipi usaili wa TAA kwa upande wa practical walitoa maswali gani???Ile kwani si wameita kwa ajili ya kujitolea??
Kama unaona hakuna ubaya uwe unawaambia tu...kuanzia unavyoomba wataarifu kuanzia majirani...ndugu...watu wote mtaa unapotoka hakuna shidaKwani mkuu ndugu wakijua kuna ubaya wowote, nauliza tu mkuu???
Mkuu mimi nataka kupata uzoefu ndio maana nikauliza, hapa tunaelimishana tu.Kama unaona hakuna ubaya uwe unawaambia tu...kuanzia unavyoomba wataarifu kuanzia majirani...ndugu...watu wote mtaa unapotoka hakuna shida
Mkuu macho ya watu nuksi mkuu eeeh hii Bongo land mzee baba gonga vitu vyako mute mute ukitoboa watajua tu.Kwani mkuu ndugu wakijua kuna ubaya wowote, nauliza tu mkuu???
Nashukuru sana mkuuMkuu macho ya watu nuksi mkuu eeeh hii Bongo land mzee baba gonga vitu vyako mute mute ukitoboa watajua tu.
Sikwenda nliitwa oral sehemu nyingine private na tulikuwa wachache zaidiMkuu vipi usaili wa TAA kwa upande wa practical walitoa maswali gani???
Ubaya mbona upo kwanza si unaona mwenyewe ulivyokuwa na pressure Kama hutopita kwenye huo usaili sasa vuta picha Kama ingekuwa unajua mwenyewe wala usingehofia hao ndugu zako.Kwani mkuu ndugu wakijua kuna ubaya wowote, nauliza tu mkuu???
Kwani mkuu ndugu wakijua kuna ubaya wowote, nauliza tu mkuu???