Kuna hili tangazo la redio la modemu ya iz-net n noumaa.demu alimkuta jamaa yake yupo na laptop anachat net kwa ku2mia modemu ya iz net.demu:mpenzi,tangu ulivyonunua modemu ya iznet,cku hz huongei na cc, jamaa:mh,mhz!, demu: had watoto wamekumic, computer:you have email text, jamaa:mhhh!, demu:kwahyo nimeamua kuwa na rafiki yako, jamaa:mhh!, demu:hv umencikia kweli mpenzi, jamaa:mh,mh,mh!