Install window 7 pro kwa kutumia flash

Nzunga

Senior Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
170
Reaction score
58
wadau nisaidieni ktk hili maana laptop yangu inagoma kudrive cd na dvd, au kama kuna altenative nyingine tusaidiane. Thanks in advance.
 
Thanks, mkuu ngoja nijaribu.
 
Ubarikiwe mkuu Zuia sayayi, nimefanikiwa lakini kwa window 8 pro..............
 
ktk mini laptop tunafanyaje... mi nna windows (ISO) ipo katika pc yangu...ila ktk flash ndo inazingua...je naweza kuibeba kutoka katika pc nyngine ili nije kui boot ktk hii mini laptop?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…