Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,649 Reaction score 6,485 Jun 8, 2020 #1 Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuulizana mambo ambayo kama yangetokea unahisi ni nini kingetokea. Weka hapa hilo jambo wajuzi watakujibu wanavyo hisi wao na wakishindwa basi iwe changamoto kwa wote. NB. Sio kila swali utakalo uliza lazima lijibiwe. Naanza mimi.[emoji116][emoji116][emoji116] Ingekuwa vipi kama Binadamu tusinge kuwepo Duniani? Ingekuwa vipi kama jf ingekuwa inamilikiwa na kada mwandamizi kutoka chama cha siasa? Ingekuwa vipi kama Tanzania kusinge kuwepo na vyama vya siasa? Endelea......
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuulizana mambo ambayo kama yangetokea unahisi ni nini kingetokea. Weka hapa hilo jambo wajuzi watakujibu wanavyo hisi wao na wakishindwa basi iwe changamoto kwa wote. NB. Sio kila swali utakalo uliza lazima lijibiwe. Naanza mimi.[emoji116][emoji116][emoji116] Ingekuwa vipi kama Binadamu tusinge kuwepo Duniani? Ingekuwa vipi kama jf ingekuwa inamilikiwa na kada mwandamizi kutoka chama cha siasa? Ingekuwa vipi kama Tanzania kusinge kuwepo na vyama vya siasa? Endelea......
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,832 Reaction score 113,197 Jun 8, 2020 #2 Naona pamekuwa na ongezeko kubwa la special threads...[emoji849]
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,941 Reaction score 31,907 Jun 8, 2020 #3 Ushimen said: Naona pamekuwa na ongezeko kubwa la special threads...[emoji849] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushimen said: Naona pamekuwa na ongezeko kubwa la special threads...[emoji849] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]