B Benson chanzera Member Joined Mar 28, 2014 Posts 15 Reaction score 1 Apr 3, 2014 #1 Mimi nafanya kazi kwa mwezi nalipwa ksh.3000.je ningekuwa Tz ingekuwa Tsh ngapi? Naomba kujua.
Awe2 JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 261 Reaction score 97 Apr 3, 2014 #2 We mtata fanyanya, ×19.5utajua
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,400 Apr 3, 2014 #3 pole sana hiyo cash ya siku 30 au siku 3? Sent from my iPad using JamiiForums
CLES B JF-Expert Member Joined Jul 7, 2013 Posts 733 Reaction score 459 Apr 5, 2014 #4 Kwa sasa Ksh tunainunua kwa tsh 19 hiyo ni sawa na 57, 000/- Na maisha ya Nairobi yalivyo...mh...may be unaishi Kibera au mathare
Kwa sasa Ksh tunainunua kwa tsh 19 hiyo ni sawa na 57, 000/- Na maisha ya Nairobi yalivyo...mh...may be unaishi Kibera au mathare
SUZANE JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 740 Reaction score 502 Apr 7, 2014 #5 Selekwa said: Kwa sasa Ksh tunainunua kwa tsh 19 hiyo ni sawa na 57, 000/- Na maisha ya Nairobi yalivyo...mh...may be unaishi Kibera au mathare Click to expand... So unamshauri ajirudie Tanzania eeh
Selekwa said: Kwa sasa Ksh tunainunua kwa tsh 19 hiyo ni sawa na 57, 000/- Na maisha ya Nairobi yalivyo...mh...may be unaishi Kibera au mathare Click to expand... So unamshauri ajirudie Tanzania eeh
ICHANA JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 4,765 Reaction score 3,596 Apr 7, 2014 #6 Rudi Tz mkuu
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,222 Apr 7, 2014 #7 Benson chanzera said: Mimi nafanya kazi kwa mwezi nalipwa ksh.3000.je ningekuwa Tz ingekuwa Tsh ngapi? Naomba kujua. Click to expand... MKUU unafanya KAZI gani huko mbona pesa ndogo sana hiyo rudi bongo MKUU uza hata maji hiyo pesa utaipata ndani ya siku chache sio mwezi bana. bongo maisha magum kwa maneno mdomoni lkn kiukweli sio . unakuta kijana hana kazi but anamiliki sim ya laki na nusu na zaidi. kapanga ghetto au analala mchongoma msosi na vinywaji kwa siku ni zaidi ya 10. rudi bana hata upige debe tuu maana kiukweli wale jamaaa mateja wanapata sana pesa sema zote zinaishia kuwatajilisha wakina riz. njoo ufanye hata kazi yakuokota makopo MKUU kuna watu wanafamilia wanaziendesha na kusomesha kwakutegemea biashara ya kuokota makopo
Benson chanzera said: Mimi nafanya kazi kwa mwezi nalipwa ksh.3000.je ningekuwa Tz ingekuwa Tsh ngapi? Naomba kujua. Click to expand... MKUU unafanya KAZI gani huko mbona pesa ndogo sana hiyo rudi bongo MKUU uza hata maji hiyo pesa utaipata ndani ya siku chache sio mwezi bana. bongo maisha magum kwa maneno mdomoni lkn kiukweli sio . unakuta kijana hana kazi but anamiliki sim ya laki na nusu na zaidi. kapanga ghetto au analala mchongoma msosi na vinywaji kwa siku ni zaidi ya 10. rudi bana hata upige debe tuu maana kiukweli wale jamaaa mateja wanapata sana pesa sema zote zinaishia kuwatajilisha wakina riz. njoo ufanye hata kazi yakuokota makopo MKUU kuna watu wanafamilia wanaziendesha na kusomesha kwakutegemea biashara ya kuokota makopo
CLES B JF-Expert Member Joined Jul 7, 2013 Posts 733 Reaction score 459 Apr 7, 2014 #8 siwezi mpa ushauri wowote ..alichouliza kishapata jibu...labda hata weather ya Nai inamvutia..siwe zijua
siwezi mpa ushauri wowote ..alichouliza kishapata jibu...labda hata weather ya Nai inamvutia..siwe zijua