M mama yetu Member Joined Oct 4, 2021 Posts 19 Reaction score 83 Oct 7, 2022 #1 Mpyaa full box imetumika wiki mbili tu ipo kama unvyoitoa dukani Bei 230,000 fixed Pm for details
M Mniombee Member Joined Dec 14, 2018 Posts 43 Reaction score 98 Oct 11, 2022 #2 Mnaoweka matangazo ya biashara ya aina hii mnakosea Sana, humu kuna watu wanapita kusoma tu na sio members wa jf..hivyo mnapoacha kuweka mawasiliano wanawapataje? Otherwise Kama biashara yako unalenga kuwapata members wa jf pekee.
Mnaoweka matangazo ya biashara ya aina hii mnakosea Sana, humu kuna watu wanapita kusoma tu na sio members wa jf..hivyo mnapoacha kuweka mawasiliano wanawapataje? Otherwise Kama biashara yako unalenga kuwapata members wa jf pekee.