Indicator za penzi kuvunjika

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Habari zenu wana MMU.,

Mapenzi ya siku hizi yamebadilika sana tofauti na zamani ambapo siku izi kupotezeana kuko njenje tu wala hakuhitaji gharama yoyote ile,hivyo napenda kushea na nyinyi ni dalili zipi hujitokeza kwa mwanamke na mwanaume wakati mapenzi yanapotaka kuvunjika?
 
unatuma mesej hujibiwi,
ukimtafuta mtu yuko busy,
ukipiga simu haipokelewi na hata hatakupigia akiona missed kol,
Ukifanikiwa kuongea nae utajibiwa kwa dharau/matuc/hasira,
Hutashirikishwa kwa lolote,
Ukibipu kumwambia tuachane atakujibu i was waiting for this for so long, Haya kawasalimie, Bora, umeanza mi namalizia.
 
Ni hatari sana kuingia kwenye mapenzi huku ukiwa na notion kuwa Mapenzi yanaweza kuvunjika, unatakiwa kuipa possibility ndogo sana lakini ukiipa kipaumbele basi niamini hii itakula kwako.
 
dalili kuu HUCHUKIZWA NA JAMBO DOGO SANA UKILIFANYA,mapenzi haya tuwaachie tanga
 
Papuchi unaiangalia kama unavyoangalia ya mtoto ukiomba hupewi.
 
dalili namba moja ukiomba papuchi sound nyingi ata ukipewa unapewa ili mradi umalize
 
Mawasiliano kukatika ndio kichwa cha habari cha yafuatayo...........
 
Ukipiga simu hazipokelewi na akikupigia no story
majibu ya mkato ni mengi
mkikutana wawili mnatazamana kama picha
mkikutana hakuna story mnakuwa ndo kama mnakutana mara ya kwanza
no kushirikishwa mambo yake anakuona wa kazi gani
kutaniana kunaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…