Indian runner, mallard na Muscovy ducks

Rion Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
628
Reaction score
705
Habari za jion wana JF
Kwa anae hitaji vifaranga vya indian runner vipo 10 kimoja Tsh 15000/=
Pair ya mallard ducks Tsh 120000/=
Madume ya Muscovy duck @ 28000/+
Na makinda ya Muscovy @Tsh 14000-15000/=
Wanapatikana chanika kwa singa
Call 0783 291 107




 
Hii ni outta topic ila kiukweoi hao vifaranga wanakaa pazuri kunizidi. Na tiles juu
 
Mkoani Mwanza, wananifikiaje hao wa 120,000
 
Mnawaita majina ya kizungu Na bei inapanda...haya Na Mimi ninauza Peruvian ducks Na Brazilian ducks @32000/= nipo masaki
 
Mnawaita majina ya kizungu Na bei inapanda...haya Na Mimi ninauza Peruvian ducks Na Brazilian ducks @32000/= nipo masaki
Picha maana haya majina ya atu changanya wengine
 
Mzigoo mwngne wa bata huo tena mallard, perkin na black Swedish
 

Attachments

  • EB469412-608F-4468-A2EB-9B9AB142E3A3.MP4
    4.9 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…