Hawawezi kupigana vita hata siku moja kwani wanayajua madhara yake
Uchumi utaporomoka kwa kasi mno na ni hasara kwa wote na hilo wanalijua vizuri sana
Hanjam tu hizo na bla bla nyingi
Tunawaona akina Akshey kumar kwenye movie wanapiga Mtu anapaishwa kwa ngumi anaenda kuangukia kama mita 100! Halafu Wewe unakuja kusema ni nyoro nyoro hawana ukakamavu!