Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,124
- 7,432
Shida ni kashmir Tuu au kuna shida nyingine Kiukweli India hawezi kumpiga mpakistani
Unamaanisha hivi..Hili umeliongea kinyume chake.
Tunawaona akina Akshey kumar kwenye movie wanapiga Mtu anapaishwa kwa ngumi anaenda kuangukia kama mita 100! Halafu Wewe unakuja kusema ni nyoro nyoro hawana ukakamavu!
Tunawaona akina Akshey kumar kwenye movie wanapiga Mtu anapaishwa kwa ngumi anaenda kuangukia kama mita 100! Halafu Wewe unakuja kusema ni nyoro nyoro hawana ukakamavu!
🤣 🤣🤣🤣Jina lenyewe tu ni Kumar, unategemea nini hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app