Incubetor machine for sale, call 0658100001

*Weka features*:

-Inatumia nini, umeme au....

-Uwezo wake wa mayai

-Ni automatic au manual

-Hata bei kama hutajali.
 
*Weka features*:

-Inatumia nini, umeme au....

-Uwezo wake wa mayai

-Ni automatic au manual

-Hata bei kama hutajali.
Yaani watu wanatangazaga biashara kama hawataki...ni sawa na kule kupatana eti unakuta mtu kapost gari anauza halafu price eti check with seller...hata kama nahitaji aina hiyo ya gari napitaga tu
 
Hayupo serious huyu muuzaji. Anaweka tangazo as if tupo nae
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…