ntulinkisah
Member
- Jan 27, 2020
- 49
- 28
Mkuu huu si uganga kabisa huu wasimsingizie Mungu kwa vitu vya kijinga kama hiviMaisha mkuu
Wateja wengi wa hawa mitume na manabii ni wanawake hata kule walikokufa kwa kukanyaga mafuta wanawake walikuwa 19 na mwanaume mmoja tujiulize kwanini ni za kike tu, hamna za kiume.