Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 412
- 372
mkuu salama!!mbona ume duh?!hiyo bei kubwa au ndogo!!!Duh 380,000?????
mkuu hapo naona jamaa anataka kutupiga changa la macho...mbuzi kwenye gunia!!anajua kuna watu watajichanganya awashike masikio!!

mkuu potezea huku pandagichiza hayo ni mashikolo!!Ushamba mzigo.!
Sasa wewe Zamaulid unaijua HTC One S.?au ukisia HTC ONE unajua ipo model moja tu.?
Ina maana wewe ukisikia Samsung galaxy,basi unajua ni S5 tu.?
Au ukisikia Sony Experia unajiandaa kutoa Milion wakat zipo hadi Experia M za Laki3.??
Usipende Kukurupuka utaumbuka..
Ushamba mzigo.!

mkuu potezea huku pandagichiza hayo ni mashikolo!!