Inauzwa bei maelewano

Dah...... Ukiitembeza mita 100 tu itakuwa na maelfu ya nyufa.......rejea tetemeko la Kagera[emoji41] [emoji125] [emoji125] [emoji87]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Iyo ya kulia tupu au na ya kushoto. Imesukwa na nondo ngapi, gharama ya kuzichimbua unafanya mwenyewe au nafanya mimi.
 
Ndo maaana wakenya wapo mbali sana ktk marketing sasa huyu chzi ndo katangaza nini hapo mtu akunyime chakula sio shule
 
Unaweza kuongezea kama hivi
1. Ni ya kampuni gani?
2. Ina muda gani tangu imekaa hapo
3. Ipo wapi?
4. Number gani?
5. Ongeza na picha.
Ni ushauri wangu tu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…