ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,583
Ili kitokee nini?Natamani pesa zote zingeenda kwenye barabara Tu.
Budget ya wizara ya ujenzi ipewe pesa nyingi kuliko maji
Kilio cha watanzania mwaka huu ni ubovu wa miundombinu TuIli kitokee nini?
Ingekuwa ni rahisi hivyo vilio visingekuwepo.Kilio cha watanzania mwaka huu ni ubovu wa miundombinu Tu
Hayo maji tutachimba visima vya kienyeji haina shida
🚮🚮🚮 Yaani TAMISEMI ambao wanafanya uzembe wa kukusanya Mapato ndio wabebwe na Serikali Kuu?Maji Yako ya kutosha
Fedha ipelekwe Tamisemi Kwenye mambo mengi
Hapa ni uzembe wa Aweso na MwiguluHapa huoni kutajwa Samia ila pakipelekwa maji sehemu ndipo anapotajwa Samia.
ILI WAPATE BAJETI YA KINUNUA V8, CCM NI JANGA LA TAIFA HILILicha ya vilio na adha kubwa ya ukosefu wa Maji ya matumizi Kwa binadamu na maendeleo, Serikali imepunguza Fedha ilizotenga kwenye Bajeti ya Wizara ya Maji Kwa zaidi ya 17% kutoka Bilioni 750 Hadi Bilioni 627.
Kwa sekta nyeti kama ya Maji harafu unapunguza Bajeti ni jambo la kushangaza.Ni vyema wabunge wasikubliane na huu utaratibu.
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1788556342606639213?t=ntMZhkJD1fT28iocpZeRpA&s=19
My Take
Ilianza Wizara ya Nishati na Sasa ni Wizara ya Maji,zote Mbili ni Wizara Nyeti ila Zimepunguziwa Bajeti zake.
Utaratibu huu Haukubaliki,punguzeni Bajeti kwenye Wizara za Madini,Maliasili na Utawala sio kwenye Wizara Zenye maslahi na Wananchi.
View: https://twitter.com/HabariLeo/status/1788560832902672560?t=_GeBA4jjS2NPBFrT9DQS6w&s=19
Ndio nasema wakitekeleza majukumu hao vizuri sifa zote zinaenda kwa Safia.Hapa ni uzembe wa Aweso na Mwigulu
Mama ndio anapeperusha bendera na ndio mbeba dhamana ulitaka ziendelee wapi?Ndio nasema wakitekeleza majukumu hao vizuri sifa zote zinaenda kwa Safia.
Huwa hakuna mbeba dhamana kwenye mambo mazuri tu halafu makosa na mapunugufu iwe dhamana habebi yeye. Serikali inaongozwa na Samia na ndio maana zikiongezwaga pesa za bajeti kwenye wizara huwa mnakuja kumsifia ila zikipunguzwa yeye hahusiki.Mama ndio anapeperusha bendera na ndio mbeba dhamana ulitaka ziendelee wapi?
Umemsikia Lisu anamtaja nani tofauti na Mama huko wanakopayuka?Huwa hakuna mbeba dhamana kwenye mambo mazuri tu halafu makosa na mapunugufu iwe dhamana habebi yeye. Serikali inaongozwa na Samia na ndio maana zikiongezwaga pesa za bajeti kwenye wizara huwa mnakuja kumsifia ila zikipunguzwa yeye hahusiki.
Licha ya vilio na adha kubwa ya ukosefu wa Maji ya matumizi Kwa binadamu na maendeleo, Serikali imepunguza Fedha ilizotenga kwenye Bajeti ya Wizara ya Maji Kwa zaidi ya 17% kutoka Bilioni 750 Hadi Bilioni 627.
Kwa sekta nyeti kama ya Maji harafu unapunguza Bajeti ni jambo la kushangaza.Ni vyema wabunge wasikubliane na huu utaratibu.
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1788556342606639213?t=ntMZhkJD1fT28iocpZeRpA&s=19
My Take
Ilianza Wizara ya Nishati na Sasa ni Wizara ya Maji,zote Mbili ni Wizara Nyeti ila Zimepunguziwa Bajeti zake.
Utaratibu huu Haukubaliki,punguzeni Bajeti kwenye Wizara za Madini,Maliasili na Utawala sio kwenye Wizara Zenye maslahi na Wananchi.
View: https://twitter.com/HabariLeo/status/1788560832902672560?t=_GeBA4jjS2NPBFrT9DQS6w&s=19
Pia soma Serikali imetumia busara gani kupunguza Bajeti ya Wizara ya Nishati wakati kuna Maombi Mengi ya Kuunganisha wateja wapya?