Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,654
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Nyumba inapangishwa ipo Mlimani City mkono wa kushoto wa jengo
A NSSF,
Ina sebule, vyumba 3 viwili mastar, public toilet, jiko, A/c sebuleni na vyumbani, Parking gari 4, Mazingira safi na salama, Ni ful tiles, gpsum na slid window. Kodi tsh 800,000/= kwa mwezi. Kodi ya mwaka mpaka miezi 10
Laki 8 kwa mwaka una inunua !?
nyumba mbaya, madirisha mabaya!
Mkuu kama ni kweli, naomba uni PM namba yako tafadhali..Nipo huku Songea napanga nyumba self rooms 3 @ 50,000
kodi laki8??? panga mwenyewe!!! pumbaf
A na B ZOTE SAWA, SOMAUwa nasikia wanaojua kiingereza wanaita furnished. Sasa hii lugha ya furnitured, mmmhhhh!!!!!
Tiba
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Nyumba inapangishwa ipo Mlimani City mkono wa kushoto wa jengo
A NSSF,
Ina sebule, vyumba 3 viwili mastar, public toilet, jiko, A/c sebuleni na vyumbani, Parking gari 4, Mazingira safi na salama, Ni ful tiles, gpsum na slid window. Kodi tsh 800,000/= kwa mwezi. Kodi ya mwaka mpaka miezi 10
Kaka ipo laki 3 km utahitaji ni pm
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Nyumba inapangishwa ipo Mlimani City mkono wa kushoto wa jengo
A NSSF,
Ina sebule, vyumba 3 viwili mastar, public toilet, jiko, A/c sebuleni na vyumbani, Parking gari 4, Mazingira safi na salama, Ni ful tiles, gpsum na slid window. Kodi tsh 800,000/= kwa mwezi. Kodi ya mwaka mpaka miezi 10
Katika kueleweshana, ni matumaini yangu kwamba kwenye formal English hutumia neno "furnitured" but "furnished":nataka kupanga iliyo full furnitured.
Furnished = comply with....Katika kueleweshana, ni matumaini yangu kwamba kwenye formal English hutumia neno "furnitured" but "furnished":