Iko furnitured?
nataka kupanga iliyo full furnitured.Unataka ukapange au unauliza tu kama sisi
Aisee mkoani raha sana
800,000×12=9.6M
Siunapata kibanda chako kabisa kwa hela hii unakua imeshafika kozi kahaa
Iko furnitured?
Uwa nasikia wanaojua kiingereza wanaita furnished. Sasa hii lugha ya furnitured, mmmhhhh!!!!!
Tiba
Inategemea wapi, ukiwa bush hiyo unajenga nyumba na chenji inabaki.
Lakini maeneo mengine ata kiwanja hupati kwa Million 10.