Ni kamq mara ya 3 tokea niko huku dar.
Bunge kenya liliwahi kuhairishwa hivi hivi dadeki Jamaa sijui alimwaga kilo volume ngapi za ushuzi.Aiseee mpaka kujamba mnakuja kusema huku
Marinda babuHabari zenu wakuu
Kuna jambo moja huwa, nashangaa sana. Kama sio kutaamaki.
Hii imetokea mara kibao tu na jambo la kunishangaza ni kwa wanaumee.
Unakutaa umekaa fresh mnapiga story mbili tatu mara unasikia praaaaaaaaaaa "nini" jamaa kaa jamba kwa nguvu halafu ana zugaa kama sio yeye.
Kama hana habarii.
Kuna siku nimekaa na jamaa mmoja tuna piga story mbili tatu mara nashangaa praaaaaa nika kaushaaa mara ya pili tena mara ya 3 nika muuliza, mjomba ina maana hutuoni mzee au makusudi.
Mara ya mwisho tena, nikaona huu ujingaa nika sepa.
Na anazugaa kama hajafanya chochote.
Ni kamq mara ya 3 tokea niko huku dar.
Swali ina maana huwezi kujizuia au??
Duuuuh alikula sukuma na githeriBunge kenya liliwahi kuhairishwa hivi hivi dadeki Jamaa sijui alimwaga kilo volume ngapi za ushuzi.
Matoborwa/maparage/michembe.nilikua mwanza..nilichokishuhudia huko ni balaa..wale watu sijui wanakulaga vitu gani mpaka wanaachia mabomu yananuka kiasi kile asee!
[emoji3][emoji3][emoji3]Miaka yetu tulifundishwa kupunguza ukali wa maneno. Tungetumia kwa mfano, kupumua, kupunguza/kutoa gas, etc
Pia kuna kupumua hadharani na kupumua kwa sauti. Kupumua ni moja ya hitaji la msingi la mwili, so, ikifikia hatua unataka kupumua, please usiunyime mwili haki ya msingi. Cha kuzingatia, kama uko hadharani, basi pumua kwa namna ambayo itapelekea least effects kwa wanaokuzunguka.
Ha ha ha[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Hao wanaume wa dar kweli,.mwanaume unatakiwa ujambe mpaka ardhi ipasuke kwa muda,.sasa hao wanaojamba kama wanapuliza moto "praaaaaaa" itakuwa wana marinda nusu na robo.