hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,888 Reaction score 9,633 Dec 17, 2012 #1 wakuu Naitaji Min laptop ya HP au TOSHIBA mpya ikiwa na kila kitu chake.............nataka vile vidogo sio makubwa ya Inch 14 hapana, naitaji haraka kwenye nayo aweke bei na contact yake tufanye biashara
wakuu Naitaji Min laptop ya HP au TOSHIBA mpya ikiwa na kila kitu chake.............nataka vile vidogo sio makubwa ya Inch 14 hapana, naitaji haraka kwenye nayo aweke bei na contact yake tufanye biashara