Inahitajika Gari ya Kukodi

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Wadau, inahitaji gari ya kukodi siku ya jmosi tarehe 31/8/2019.

Sifa za Gari.
- Iwe na uwezo wa kubeba kuanzia watu 8
- Iwe katika hali nzuri
- Ikiwa Nissan Elgrand, Toyota Alphard au Nissan Serena ni Bora zaidi.
- Isiwe Toyota Noah ya aina yoyote.

Matumizi
- Ni ndani ya mkoa wa Dar.
- Gari haitatembea zaidi ya km 20 baada ya kukabidhi.
- Muhusika akipenda anaweza kutoa dereva wake kama hana basi yupo dereva wa kuendesha.
- Gari inatakiwa ipatikane saa 2 kamili asb. Na itakadhiwa saa 2 usiku ya siku hiyo hiyo.

Mwenye gari ani-PM ili nimuunganishe na mtu anayehitaji.

Toa ofa yako katika PM na elezea hali ya gari lako.
 
Tafadhali, mwenye nayo akaribie inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…