Habari wakuu.
Inahitajika Toyota NOAH, rangi ya Silver au off white, namba E, ambayo haijapata ajali, isiwe na changamoto ya engine, ya gear box, wala kurudiwa rangi.
Kwa mmiliki (siyo dalali) anayeiuza, njoo PM tupeane na namba kwa mawasiliano.
Zingatia: Uwe mmiliki, siyo dalali.