Habari za hasubuhi wadau natumaini muu wazima huu Uzi nilikua niulete kweny tokea sikunyingi lakini nkakosa mda
Achaniandike kwaufupi storinyingi zinachosha kamaunashindwa kurudi tendon marayapili basi Fanya hivi::
1* Tumia ungawasoya vijiko viwili kilaunapo kunywa chai au uji mdawowote au unaweza ukauchanganya na ungawaugali pale unapo pika ugali kwani ugali unakua mtam sana,kipimo siwezi taja sababu mm nilikua nikitumia kilankinywa chai nauji wa dona
2* Mazoezi ya kegel - naamini hakuna mtu ambae hayafaham nakama hufaam rejea nyuma kunawatuwengi wameyaelezea
3* Achapunyeto wakati unatumia hii dozi hutoona matokeo kama unaendeleza ila kama wewe nimuanga nahauwezi acha piga Mara moja kwamwenzi natafta dem ambae atakuudumia tendo marambili kwa mwenzi $$ kwanini marambili sababu ww nimuanga nahata mtuanae pigamzigo kla Mara lazma awenaupungufu Mtumie kistaarab kaambali nawanafunzi nihatari kwamaisha yako
4*Fanya mazoezi epuka kulalia chips na Pepsi nadhani wadaslam mmeniskia sauti inatosha,,,,kwamazoezi kama upo mkoa waarusha Tell: 0692422869/062666038
5* nsiandike vingi sababu mm nlivyovifanya ndohvyo nasisitiza mazoezi nimuhim call:^^^hizohapo juu :::: kwanini nimeweka namba Mimi nlishndwa kufanya mazoezi mwenyewe nkaamua kutafta mwalim atakae nfanyisha mazoezi ntakapo toka kazin kwakweli nilipata msaada mkubwa sababu ya campan yawenzangu ambao tunafanyanao mazoezi namwishowe nakosamda wakukaamwenyewe nankirudi geto unakuta nmechoka nakula usngizi mpaka keshoyake &&&& sisitizo mazoezi yakegel yana hitaji moyo
Mwisho "": tuliza akili nakunywa maji mengi