Imani

Sir Makombo

Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
48
Reaction score
58
Kwa nini kwenye kongamano za kiroho, Wengi wanaodondoka ni Wa kike? Ina maana wanaume hawanaga mapepo au hawapatwag na mapepo?
 
nadhani hii itakuwa inasababishwa na ukweli kuwa wanawake ni viumbe rahisi kudondoshwa
 
Nikikumbuka kilichotokea pale mitaa ya bustani ya Edeni mkabala na gheto la babu yangu Adamu naona kabisa shetani ana hisa nyingi kwa wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…