Imam Hussein kachafukwa

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,331
Reaction score
4,233
Naam kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, uonevu na ukandamizaji kachafukwa.

Ayatollah khamenei kaenda kuwashtaki wa Marekani huko Firdaus mwamba akasema thisbulshit akaamua kushuka.

Angalia sasa Iran inavyoshusha vitu vizito. Saudi Arabia mkuu wa ma sunni anaomba poo. Sunni mtakoma.




adriz Adiosamigo Ritz Mzee makoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…