Mr George Francis
JF-Expert Member
- Jun 27, 2022
- 279
- 512
Kiuhalisia jamaa kajitahidi ku draft nondo kama msomi vitu vidogo dogo vya kukosea always vipogo tuHAKUNA Course inaitwa Bachelor Degree of Laws.
Nenda kaangalie tena kwenye Cheti chako.
Mkuu hata kozi ulosoma hujui kuiandika tutakuamin ukasimamie haki za watu kweli??
Si kweli!Kiuhalisia jamaa kajitahidi ku draft nondo kama msomi vitu vidogo dogo vya kukosea always vipogo tu
AMEN. Nashukuru sana kwa ushauri mzuri.Mungu akufanikishe, namna nzuri ya kupata kazi (unbeatable)
1. Amini utapata kazi nzuri.
2. Achana na maneno ya vijiwe.
3. Amini unaweza pata kazi bila God F.
4. Amini Mungu ndo God father wako.
5. Draft email na pdf ya vyeti.
5. Kila siku search hayo mashirika unayopendu forward application hata Kama hawa hawajatangaza kazi.
6. Tuma email 20 kwa siku, Chagua email za ma MD na sio info and secretaries!
7. Kabla ujatuma email sema Sala na soma Zaburi ya 23.
8. Weka nadhiri kwa Mungu ya shukrani ukipata kazi.
9. Usiende kwa Mwamposa wala kuamini nabii yeyote nchi hii.
10. Amini unaweza Mwenyewe kumwomba Mungu na akakutendea muujiza.
Thank you so much. Nashukuru kwa kunirekebisha kusudi niandike kwa ubora. Mungu akubariki sana mtumishi.HAKUNA Course inaitwa Bachelor Degree of Laws.
Nenda kaangalie tena kwenye Cheti chako.
Mkuu hata kozi ulosoma hujui kuiandika tutakuamin ukasimamie haki za watu kweli??
Thank you so much. 🙏🙏Anza kwa ku-volunteer, ungekuwa mchaga ungepata mapema pale LHRC
Nice 🙏Si kweli!
Tunaambiwaga wanasheria ndio wanajua proper na grammatical English ila hapa kwa mshkaji hapana!
Usimfunikie makosa yake unakuwa humsaidii
Kosa lake ni curiable, ulishanza kumpiga PO huku nje dah, ndio maaana mimi nimewachia fani yenuHAKUNA Course inaitwa Bachelor Degree of Laws.
Nenda kaangalie tena kwenye Cheti chako.
Mkuu hata kozi ulosoma hujui kuiandika tutakuamin ukasimamie haki za watu kweli??
Ahsante sana dada. God bless you.Wewe ni handsome hutakiwi kukosa kazi kabisa kwa umri huo
Mungu akufanyie wepesi
Tembelea law firms mjini zipo nyingi omba hata kujitolea
Jiunge na rafiki zako mkiweza kufungua hata law firm yenu itapendeza
Kila la heri
LLB basi kataa na hapoHAKUNA Course inaitwa Bachelor Degree of Laws.
Nenda kaangalie tena kwenye Cheti chako.
Mkuu hata kozi ulosoma hujui kuiandika tutakuamin ukasimamie haki za watu kweli??
In God we trust, mafanikio ni haki yetu. Pole kwa changamoto na hongera kwa hatua nzuri uliyopiga sasa.Nakuombea upate kazi, anzia law firm kwanza. Nakumbuka siji kusahau japo ilinisaidia sana ,nilienda law firm mchana wa sita kuomba niwe najifunza pale kwao, niliwakuata mawakili watatu wawili wa kiume na mmoja wa kike, mzee nimependeza hatari nikajitambulisha nikwambia shida yangu , aisee yule manzi akaniangalia miguni to kichwani , then akawangalia wale wenzake akanijibu hapa hatuna hiyo nafasi. Nilipoteana na nilipofka home nikajiapiza sitoomba tena kazi kwa mtu , na kweli sijawahi kuomba Tena , niliamua kuingia tu shamba , kusanya pesa ingia postgraduate ya ualimu open universety, saiz ni ticha tu ila huwa nawaona hawa mawakili hapa jombe na tugari twao , kipindi kile Cha ujana nilikuwa nawaza niwategeshe siku Moja bodi ya scania waingie humo wafe, ah nikaona zambi ila sasa nimefanikiwa kumla yule msomi wa kike, na sijawahi mkumbusha kuwa ni mimi alifanyia zarau, omba mdogo wangu MUNGU akusaidie
Ni LL.B msomi sio LLB😀😀wasomi bhnLLB basi kataa na hapo