msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 296
- 375
sura ya dp kakaSasa mtu unaitwa msukule mzembe kwa nn usipigwe kutokana na uzrmbe wako wa kutofikiri
Unamtumiaje mtu hela wakati hata Sura yake huijui imefananaje
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Uliliwa kimasihara mzeeKichwa cha habari chahusika vizuri tu.
Kuna siku niliamua kutafuta demu fb. nikapata pisi moja kaleeeee. si nikaitongoza ikakubali. akanipa no zake za whatsapp tukatoka messenger tuka ruka hadi tsap. Tukaanza kuchat mara aniombe hela ila kwa kua hela ninazo nikawa nampa tuuuuu. nikimpigia voice na video call hapokei anasema hatak hayo mambo mpaka tukutane live. Nikipanga siku analeta udhuru
Nikajisemea huyu demu anazingua na tunapoelekea naweza hata kukosa tunda kimasihara. nikamcheki kwa namba nyingine nikampigia simu akapokea ile kupokea nikashangaa ni kidume nikamwambia mimi ndo dafriana alivyosikia hivyo akani block kila kona alafu akazima simu.
Hakika niliumia sana maana amekula hela zangu kiwizi kumbe dume. toka siku hiyo nikawa simuamini mtu yoyote mitandaoni
SWALI: kwanini wanaume mitandaoni wanajifanya wanawake kwa kutumia picha za kike na majina ya kike. shida ni nini
nawasilisha kwenu wakuuuu vp mawazo yenu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji871]
Kichwa cha habari chahusika vizuri tu.

wanzingua sana kaka haoMkuu wanaume wengi wanatamani sana jinsia yao ibadilike iwe ke hata ukifuatlia pcha nyingi za kwenye mitandao za nusu uchi au uchi ni wanaume wanapost watumia id ya kike na dp wanaweka pcha ya kike. lakini huwezi kukuta mwanamke anajifanya mwanaume kwenye mitandao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uliliwa kimasihara mzee
wazungu hawana mambo mengi. mimi natafuta wa kibongoMama travota anajua Kama uliliwa pesa kizembe ivyo?