Babu joanah alikuwa anakutafutaMama ebu njoo utoe ushuhuda huku.
Natamani nimjue bossMama ebu njoo utoe ushuhuda huku.
nimerudi, sijaona hiyowatu wakieleza hizo feelings walizokuwa nazoUsichelewe
Jovitha???Babu joanah alikuwa anakutafuta
YesssJovitha???
Kwanini umng'ang'anie wakati ulikuwa haumpendi? eti kisa labda alikuwa anakupa hela....kama humpendi unamuacha fasta kwani uliambiwa ukikaa bila mwanaume/mwanamke utakufa....kukaa na mtu usiempenda eti ukisubiri umepndae ni kupoteza muda tuu na rasilimali...mwisho ujeruhi moyo wako,unapoteza pesa,time,eti atabadilika...kwanini useme mara paa umempata anaekujali utamwachaje/mwambiaje ulienae au utajisikiaje....Ishi peke yako kuwa na muda na utulivu ndo utampata sahihi...lakini eti uko na mtu....mara umempata mtu mwingine si mtadanganyana tuu tena coz hukupata muda wqa ku relax...meditate...Wanajukwaa niende moja kwa moja kwenye madau umekuwa kwenye mahusiano pasua kichwa kwa muda mrefu. Mtu hakuelewi, haipiti wiki ugomvi unajishusha mnapatana lakini baada ya muda anarudia yale yale.
Umejitahidi kumrekebisha lakini wapi matusi, kejeli mpaka kukutukania wazazi wako lakini unasamehe si unajua mapenzi tena mara paaap akatokea Mr/ Mrs right, mpole, mcheshi inshort ana vigezo muhimu ulivyohitaji Je uliipokeaje hiyo hali? Ulimuacha haraka pasua kichwa wako? hebu share nasi ile furaha uliyoipata baada ya kumpata Mr/Mrs Right.
Karibuni!