Ila ndoa za siku hizi..hahahaha!

Mimi ndiyo maana nasema. Kabla hujaoa kaa na mwanamke hata miaka minne ya uchumba kisha mitatu pika pakua halafu ndiyo ufikirie kuoa.

Jamii yetu haikubaliani na hayo pia dini na ulimwengu pia
 
We jamaa ni mnafiki kiqumer yaani unafurahia ndoa ya mwenzio kuvunjika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…