Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Kabisa.Ndoa zimekuwa fashooon siku hizi, wengi wanaingia kwenye ndoa bila kuelewa ndoa ni nini ndo maana wengi zinawashinda.
Imekua fashion inaisha hii inaingia hiiHii taasisi inachezewa sana siku hizi.
Ni kinyume na maadili ya kidini na jamikkwa ujumla.Mimi ndiyo maana nasema. Kabla hujaoa kaa na mwanamke hata miaka minne ya uchumba kisha mitatu pika pakua halafu ndiyo ufikirie kuoa.
Yaa pointMimi ndiyo maana nasema. Kabla hujaoa kaa na mwanamke hata miaka minne ya uchumba kisha mitatu pika pakua halafu ndiyo ufikirie kuoa.
Hahahahaha msenge wewe[emoji23][emoji23][emoji23]The baddest 47,ama nikagongeee banana
Ama nikagongeee yokozunaaa!
Hii taasisi inachezewa sana siku hizi.
Ama nikagongee veveThe baddest 47,ama nikagongeee banana
Ama nikagongeee yokozunaaa!
Ikishindana mahali inarudi au?Ndoa sikuhizi fashion
Mnaoana mnamwagana kesho...
Mimi nataka bwana alipe mahari niishi nae kwanza na mtarajiwa hata miezi mi3
Halafu ndoa ndio ije nijipimishe kuwa naweza kumhandle Isije tukaja kuoana nikajionea maajabu
Umeongea pointi sana mkuuNawapa pole sana'' wale wanaoingia kwa ndoa kisaa hasa papuchii ama kuona wenzao wameingia na wao kufata mkumbo' nawapa pole wale wanaoolea mimba' nakuingia huko na kisha kutojua nn kilichowafanya waingie kwenye pinguu' za maisha mwisho wa siku bintii na lake kijana na lake kinachotokea ndoa inasambaratika na kuwaacha watoto katika wakati mguumu''' pasipo malez ya pande zote mbili'' na watoto kutangatannga bila maleziiii''' kijan wakiume na wakike jifunzeni nn maana ya ndoa?, na je mnaingia kwenye ndoa kufanya nn ? baada ya ndoa mtafanya nn hasa ili ndoa yenu idumu? kwa upendo na amani.
Dini ipi na jamii ipi? Kwahiyo mzee wewe unapoishi hakuna watu wanaishi bila kuoana?Ni kinyume na maadili ya kidini na jamikkwa ujumla.
Yaweza kuwa we ndio ukawa shida.