Timu ilikua imekamilika kila idara asee dimba la kati yuko Pavel Nedved mpaka raha.Eeeh bhana eeh
EURO 2004
peter Cech
Jan koller
Milan Baros
Hahaha, nakumbuka Czech ilipigwa goli na Ugiriki nikenda kulala hapo hapo, hawa jamaa walikuwa shda
EeehTimu ilikua imekamilika kila idara asee dimba la kati yuko Pavel Nedved mpaka raha.
Ugiriki akaja na style yake anakuchapa kamoja tu halafu hakirudi mpaka fainali anamchapa mwenyeji/ureno kamoja halafu anabeba ndoo
Viwanja kama Dragao, burudani sana
Ureno ya akina Deco/Figo/Rui costa
Miran Baros anaibuka mfungaji bora na kubeba Golden boots,Eeeh
Bwana ile czech kama hawakuchukua kombe lolote miaka ile watasubiri.
Hahah
Ule mpira wa wagiriki ulikuwa wana kuvizia ila wakikupata tuu goli moja limetosha
Kabisa Ndugu kama Senegal ya Tony silva /Diof/Fadiga/Camara/Diop chini ya kocha marehemu kwa sasa Bruno Metsu,baada ya kizaz kile kuisha walipita kipindi kigumu sana naona sasa ndo wanarudiKila nchi lazima inakuwa na golden generation, ikiisha hiyo mpaka ije nyingine ni muda mrefu sanaaa. Nedved nilikuwa napendaga mikwaju yake
Umemsahau Henry Kamara mkuu, kumbuka ile Nigeria ya kina okocha, kanu, babangida, babayaro, njoo Cameroon ya etoo, mboma, song, hata Brazil, France, Portugal, kooote it's all about golden generationKabisa Ndugu kama Senegal ya Tony silva /Diof/Fadiga/Camara/Diop chini ya kocha marehemu kwa sasa Bruno Metsu,baada ya kizaz kile kuisha walipita kipindi kigumu sana naona sasa ndo wanarudi
Pavel Nedvedv alikua amekamilika
Nlikua mmoja wa mashabiki wa timu ya Taifa ya Czech Republic kipindi cha nyuma kidogo enzi izo ikiundwa na Wakali kama Pavel Nevded uyu mtu alikua fundi sana anzia timu ya Taifa mpaka Juventus.
Jan Koller alikuwa anakipiga Borussia Dortmund. Historia yake alianza kama kipa na baadaye ktk timu ya Sparta Praha akabadilishwa kuwa striker. Aliweka historia amoja ktk mechi ya bundesliga kati ya Dortmund na Bayern msimu wa 2002-03 kuwa kipa aliyeokoa zaidi michomo baada ya kipa wa Dortumund Jens Lehmann kupewa kadi nyekundu na Koller kuamua kuingia golini. Alipata kuwa kipa bora wa wiki hiyo.Wakali wengine kama Milan Baros mashabiki wa Liverpool wanamjua huyu mtu alikua mkali wao wa kutupia.
Na jamaa wao mmoja wakuitwa Jan Koller mrefu hivi na nguvu za kutosha kwa magoli ya vichwa alikua hatari sana,kama sikosei kakipiga pale Monaco/France na wakali wengine
Tangu icho kizazi kipotee Timu yao ya Taifa imekua haina mvuto sana kama ule wa zamani zaidi ya mkongwe Peter Szech na yule beki wao mwenye asili ya Ethiopia,nimekua siwafwatilia sana siku hizi.
Nini kimesababisha Jamhuri ya Szech kupotea kidogo kwenye soka japo kwenye michuano mikubwa kama World/Euro cup bado wanaonekana???
Sikupata kuelewa hiyo story ya Jan koller kumbe ni Multi talentedJan Koller alikuwa anakipiga Borussia Dortmund. Historia yake alianza kama kipa na baadaye ktk timu ya Sparta Praha akabadilishwa kuwa striker. Aliweka historia amoja ktk mechi ya bundesliga kati ya Dortmund na Bayern msimu wa 2002-03 kuwa kipa aliyeokoa zaidi michomo baada ya kipa wa Dortumund Jens Lehmann kupewa kadi nyekundu na Koller kuamua kuingia golini. Alipata kuwa kipa bora wa wiki hiyo.
Binafsi ni moja ya mastriker niliotokea kuwaelewa sana.
Alianza kama keeper lakini wakamwona anaweza kuwa forwad mzuri ndio maana kwenye mechi yao na bayern alikuwa mkombozi alipoingia golini.Sikupata kuelewa hiyo story ya Jan koller kumbe ni Multi talented
huyo koller ni hatari yaani kanu ni mfupiSikupata kuelewa hiyo story ya Jan koller kumbe ni Multi talented
Eeeh
Bwana ile czech kama hawakuchukua kombe lolote miaka ile watasubiri.
Hahah
Ule mpira wa wagiriki ulikuwa wana kuvizia ila wakikupata tuu goli moja limetosha
EnheeeMfumo kama wanaotumia Atletico,wakikufunga goli haulirudishi.
Ndio hivyo hamna namna maana muosha naye huoshwa.Godin,Gabi,philipe Luis,Diego Simeone katengeneza ukuta mgumu sana ila juzi kati Sevilla kamfunga kamoja