Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,003
- 168,574
Mkuu huyu lazma atakuwa Mangi tena wa pande za Rombo hivi!
Mkuu huyu lazma atakuwa Mangi tena wa pande za Rombo hivi!
Kama hulipi nitakuchapa makofi!Hata mimi silipi
Teh teh teh!mkuu acha uchokozi !!watakuwa wale wanaopinga bar wakati pombe wanakunywa!!!!! Wanapinga uzinzi lakini tigo ndo home network akina baru
Unashangaa nini sasa?ha ha ha ha