Shem wako kwa nani?
vivvian utakuja kwenye harusi yangi mie na figganigga
Shem wako kwa nani?
ha ha ha leo sikuchanganyii nitakupa dry vodka bila hata ice....au unataka brandy?Ha ha ha!!...
Atii wewe si ndio ulikuwa wanimiminia tu ile makitu high profile...kuja kushtuka ishapanda kwa kichwa halafu ikateremka kwa mdomo...
Heheh hapo ndio nikaanza kuwapa stori kibao...ijumaa hii nitawapa mastori ya kufa mtu hadi kunakuchaaa
ha ha ha leo sikuchanganyii nitakupa dry vodka bila hata ice....au unataka brandy?
Afu watu8 Mungu kampa mayai ya X tu? Ya Y yamempita mbali nadhani !
Naibu Mwkt hebu tomboka hii imekaa vipi !