Ijumaa Hiii

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Last edited by a moderator:
Yaani una maana kiongozi wetu Makamu Mwkt ni king'ang'a wa mike ? Mtakerazi!
 
Abeee.....

Ankal Kaizer kaa kimachugachuga! Naona kama kuna viashiria vya kuibiwaibiwa hivi!
Hilo itiko si la kawaida!
Ukiwa landlord wa wanaotikaga kiivi ndo tunajikuta tunatoa maeksemshen aneksepekted!
 
Last edited by a moderator:
Huyu watu8 ni kama cherehani yeye ha ha ha!!halafu last time alivamia ulabu kwa fujo huyu kiumbe!leo kitaa wapi vivian nimwambie besti anipitie....penda vyabure ukipanda bodaboda full kusweat!lakini besti watu8 ananiwashia kiyoyozi tu mtoto wa kike najimwaga!
 
Ijumaa njema mpenzi @vivian na wengineo woteee tunaojumuika na tusojumuika hapa kuiappreciate ijumaa!kwa kweli vivan umesababisha ijumaa imekuwa siku muhimu kwangu since tunakutana hapa wana chit-chat na kuifurahia siku hii!
Na nimekuwa na kumbukumbu nzuri ya siku hii kwamaana mimi ni msahaulifu sana haswa wa tarehe na siku!
 

Una akili sana vivian maana umeendelea kutunza siri yangu na wewe! Tutaendelea kufanya kimya kimya hadi wakati muafaka!
 
Last edited by a moderator:

Una akili sana vivian maana umeendelea kutunza siri yangu na wewe! Tutaendelea kufanya kimya kimya hadi wakati muafaka!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
vivian ubarikiwe kwa mualiko
hakika nilienjoy sana yani
na leo nitakuepo
 
Last edited by a moderator:
i wish ningekuwepo ningefaidi kumuona Kaizer na Chocs
sasa huyu Filipo alikujaje bongoland bila kunitaarifu
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha!!...

Atii wewe si ndio ulikuwa wanimiminia tu ile makitu high profile...kuja kushtuka ishapanda kwa kichwa halafu ikateremka kwa mdomo...

Heheh hapo ndio nikaanza kuwapa stori kibao...ijumaa hii nitawapa mastori ya kufa mtu hadi kunakuchaaa
 
1. watu8 huyu anapenda story zote aongoze yeye yaana aongee kuliko wengine wote

Mmmmh!!! mbona kila mtu alikuwa anasogoa mastori ya town...ila vivian ulikuwa wabamba sana vile ulikuwa ukicheza Zilipendwa haswa twist heheheh!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…