Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,741 Reaction score 3,315 Jul 22, 2020 #1 Habari wakuu Kiukweli kabisa kutoka moyoni nimeichagua ihefu fc kuwa team yangu pendwa Baada ya Simba,Mufc,River plate. Mungu ibariki Ihefu ifuzu TPL
Habari wakuu Kiukweli kabisa kutoka moyoni nimeichagua ihefu fc kuwa team yangu pendwa Baada ya Simba,Mufc,River plate. Mungu ibariki Ihefu ifuzu TPL
Scolari JF-Expert Member Joined Aug 25, 2017 Posts 1,723 Reaction score 2,419 Jul 22, 2020 #2 Walistahili pamoja na figisu zote
Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,741 Reaction score 3,315 Jul 22, 2020 Thread starter #3 Scolari said: Walisatahili pamoja na figisu zote Click to expand... Sema play off inayofuata ndo mziki maana hizi team za Ligi kuu zinaijua sana hii michezo
Scolari said: Walisatahili pamoja na figisu zote Click to expand... Sema play off inayofuata ndo mziki maana hizi team za Ligi kuu zinaijua sana hii michezo
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Jul 22, 2020 #4 Hongera zao, niliumia walipopigwa goli 3 nikasema wameshatolewa nimefurahi wamepindua matokeo Singasinga said: Habari wakuu Kiukweli kabisa kutoka moyoni nimeichagua ihefu fc kuwa team yangu pendwa Baada ya Simba,Mufc,Liverplate. Mungu ibariki Ihefu ifuzu TPL View attachment 1513992 Click to expand...
Hongera zao, niliumia walipopigwa goli 3 nikasema wameshatolewa nimefurahi wamepindua matokeo Singasinga said: Habari wakuu Kiukweli kabisa kutoka moyoni nimeichagua ihefu fc kuwa team yangu pendwa Baada ya Simba,Mufc,Liverplate. Mungu ibariki Ihefu ifuzu TPL View attachment 1513992 Click to expand...
Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,741 Reaction score 3,315 Jul 22, 2020 Thread starter #5 Viol said: Hongera zao, niliumia walipopigwa goli 3 nikasema wameshatolewa nimefurahi wamepindua matokeo Click to expand... Kabisa mkuu
Viol said: Hongera zao, niliumia walipopigwa goli 3 nikasema wameshatolewa nimefurahi wamepindua matokeo Click to expand... Kabisa mkuu
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,428 Reaction score 24,145 Jul 22, 2020 #6 Viol said: Hongera zao, niliumia walipopigwa goli 3 nikasema wameshatolewa nimefurahi wamepindua matokeo Click to expand... Basi soka la bongo limedevelop yani unapigwa tatu na unageuza matokeo....
Viol said: Hongera zao, niliumia walipopigwa goli 3 nikasema wameshatolewa nimefurahi wamepindua matokeo Click to expand... Basi soka la bongo limedevelop yani unapigwa tatu na unageuza matokeo....
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Jul 23, 2020 #7 Hongera kwao Nalog off
G G4rpolitics JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,376 Reaction score 5,262 Jul 23, 2020 #8 liverplate ipo sayari gani? Singasinga said: Habari wakuu Kiukweli kabisa kutoka moyoni nimeichagua ihefu fc kuwa team yangu pendwa Baada ya Simba,Mufc,Liverplate. Mungu ibariki Ihefu ifuzu TPL View attachment 1513992 Click to expand...
liverplate ipo sayari gani? Singasinga said: Habari wakuu Kiukweli kabisa kutoka moyoni nimeichagua ihefu fc kuwa team yangu pendwa Baada ya Simba,Mufc,Liverplate. Mungu ibariki Ihefu ifuzu TPL View attachment 1513992 Click to expand...
Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,741 Reaction score 3,315 Jul 23, 2020 Thread starter #9 G4rpolitics said: liverplate ipo sayari gani? Click to expand... Dunia,Argentina
Louis II JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 3,030 Reaction score 4,650 Jul 23, 2020 #10 Singasinga said: Habari wakuu Kiukweli kabisa kutoka moyoni nimeichagua ihefu fc kuwa team yangu pendwa Baada ya Simba,Mufc,Liverplate. Mungu ibariki Ihefu ifuzu TPL View attachment 1513992 Click to expand... Correction: Ni 'River plate CF' sio 'Liverplate'
Singasinga said: Habari wakuu Kiukweli kabisa kutoka moyoni nimeichagua ihefu fc kuwa team yangu pendwa Baada ya Simba,Mufc,Liverplate. Mungu ibariki Ihefu ifuzu TPL View attachment 1513992 Click to expand... Correction: Ni 'River plate CF' sio 'Liverplate'
Z Zarumenda JF-Expert Member Joined May 24, 2020 Posts 394 Reaction score 519 Jul 23, 2020 #11 ze-dudu said: Basi soka la bongo limedevelop yani unapigwa tatu na unageuza matokeo.... Click to expand... Hamna lolote unakuta wao walifungwa kwa figisu nawao wameshinda kwa figisu kila mtu kwao
ze-dudu said: Basi soka la bongo limedevelop yani unapigwa tatu na unageuza matokeo.... Click to expand... Hamna lolote unakuta wao walifungwa kwa figisu nawao wameshinda kwa figisu kila mtu kwao
M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,521 Reaction score 6,069 Jul 23, 2020 #12 Singasinga said: Dunia,Argentina Click to expand... Club Atletico River Plate
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,706 Reaction score 44,067 Jul 23, 2020 #13 G4rpolitics said: liverplate ipo sayari gani? Click to expand... Sahari ya Platinum
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,706 Reaction score 44,067 Jul 23, 2020 #14 Zarumenda said: Hamna lolote unakuta wao walifungwa kwa figisu nawao wameshinda kwa figisu kila mtu kwao Click to expand... Bila kusahau kamati za ufundi na roho mbaya
Zarumenda said: Hamna lolote unakuta wao walifungwa kwa figisu nawao wameshinda kwa figisu kila mtu kwao Click to expand... Bila kusahau kamati za ufundi na roho mbaya
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,243 Reaction score 11,421 Jul 23, 2020 #15 Figisu walizofanyiwa na dodoma fc wameenda kulipiza kwa kuifanyia figisu transit camp Kwa dua za transit camp hawapiti kwenye knockout
Figisu walizofanyiwa na dodoma fc wameenda kulipiza kwa kuifanyia figisu transit camp Kwa dua za transit camp hawapiti kwenye knockout
Mwanamaji JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,906 Reaction score 4,525 Jul 23, 2020 #16 monopoly inc said: Figisu walizofanyiwa na dodoma fc wameenda kulipiza kwa kuifanyia figisu transit camp Kwa dua za transit camp hawapiti kwenye knockout Click to expand... Figisu zipi mkuu ?
monopoly inc said: Figisu walizofanyiwa na dodoma fc wameenda kulipiza kwa kuifanyia figisu transit camp Kwa dua za transit camp hawapiti kwenye knockout Click to expand... Figisu zipi mkuu ?
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,243 Reaction score 11,421 Jul 23, 2020 #17 Mwanamaji said: Figisu zipi mkuu ? Click to expand... Mpk dakika ya 80 ihefu alikuwa anaongoza goli moja kilichotokea dkk 10 zilizobaki wao wenyewe wanajua
Mwanamaji said: Figisu zipi mkuu ? Click to expand... Mpk dakika ya 80 ihefu alikuwa anaongoza goli moja kilichotokea dkk 10 zilizobaki wao wenyewe wanajua
Mwanamaji JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,906 Reaction score 4,525 Jul 23, 2020 #18 monopoly inc said: Mpk dakika ya 80 ihefu alikuwa anaongoza goli moja kilichotokea dkk 10 zilizobaki wao wenyewe wanajua Click to expand... Sasa mkuu mpira si ni dakika 90 na ndani ya muda huo goli linaweza kufungwa dakika yoyote ?
monopoly inc said: Mpk dakika ya 80 ihefu alikuwa anaongoza goli moja kilichotokea dkk 10 zilizobaki wao wenyewe wanajua Click to expand... Sasa mkuu mpira si ni dakika 90 na ndani ya muda huo goli linaweza kufungwa dakika yoyote ?
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,243 Reaction score 11,421 Jul 23, 2020 #19 Mwanamaji said: Sasa mkuu mpira si ni dakika 90 na ndani ya muda huo goli linaweza kufungwa dakika yoyote ? Click to expand... Mkuu mi nilikuwepo uwanjani hiyo siku ninachokizungumza nilikishuhudia KWA macho yangu Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mwanamaji said: Sasa mkuu mpira si ni dakika 90 na ndani ya muda huo goli linaweza kufungwa dakika yoyote ? Click to expand... Mkuu mi nilikuwepo uwanjani hiyo siku ninachokizungumza nilikishuhudia KWA macho yangu Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
popie JF-Expert Member Joined May 28, 2016 Posts 801 Reaction score 577 Jul 23, 2020 #20 Ihefu ipo vizuri maana matajili wao wamejipanga sana