miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Soma vizuri hilo shairi miss chaga ukilielewa ntaku Mpesa
Hakuna Muhaya humu ajaribu hata kuelezea kidogo
kumbe hata we ujaelewa
Mimi nimeelewa Miss Chaga, mbona ni straight forward kabisaa
mitumie advance kwanza ndiyo nianze kusoma
Mh:what:hiki kidhungu bwana kheri kingekuja Tarime ningejua but kilicross border kwenda bukoba,humu hakuna nshomile wajameni atafsiri?
Hahahahaha daaah unapenda pesa wewe
Moghaka mbona pale Nyarero wamisionari walikuja zamani sana? Au ndio kizazi kabla yenu kileleta ujanja ule wa kukimbilia kwenye kuchunga tu
poem kumbe
Hahaha,watu chali chezea ngeli weye!!!
Ni wimbo flani, nimeshindwa kuattach link hapa, ila we ucheck you tube, ni mzuri kweli na lyrics zake nzuri ukizielewa
kaimba nani