Pole dada.Poleni sana. Diamond has never needed Wema wala mashabiki wa Wema. Zile campaign za team Wema za kuto kumpigia kura Diamond na kumpigia Davido last year viliishia wapi? Diamond will remain Diamond and on top of his game, and Wema's fans will remain delusional souls.
Jitahidi kumpamba na title ambazo hazina uzito kwa sasa. Huyo anaetoa conversation zake za private na Idris ni nani? Dougimasta, mati na akina utajipanga wameyajulia wapi hayo mambo yake ya ndani kama sio yeye ndio anawaeleza? Hao ndio viongozi wa fans/washabiki wake, na ndio hao wanaopost instagram kumtukana Idris, na before that walimtukana Dai na Zari mnoo. Wewe endelea kumsafisha Wema hapa but we all know the kind of person she is.Pole dada.
Nimemzungumzia Wema Abraham Sepetu, Miss Tanzania, Mwanasiasa, First Lady wa Bongo Movie na Malkia wa Timu ya Mastaa inayojulikana kama Team Wema... Sijazungumzia mashabiki wala wasemaji waliojiteua wa mitandaoni.
Madame hajawahi kuwa na chuki za kipuuzi, ni mhumble, na amekuwa akiwasaidia hawa vijana professionally bila kinyongo wala visasi.
Unless unamjadili Madame Wema Abraham Sepetu kwa rejea ya vitendo na maneno ya washabiki wake...
A kind of person you wish she was. Ujinga wa akina Mati sio lazima uwe ni masterplan ya Wema... Madame ni msafi tangu zama hizo, lau angekuwa roho mbaya angewapotezea wabaya wake kwenye system, maana ana gig huko.Jitahidi kumpamba na title ambazo hazina uzito kwa sasa. Huyo anaetoa conversation zake za private na Idris ni nani? Dougimasta, mati na akina utajipanga wameyajulia wapi hayo mambo yake ya ndani kama sio yeye ndio anawaeleza? Hao ndio viongozi wa fans/washabiki wake, na ndio hao wanaopost instagram kumtukana Idris, na before that walimtukana Dai na Zari mnoo. Wewe endelea kumsafisha Wema hapa but we all know the kind of person she is.
A kind of person you wish she was. Ujinga wa akina Mati sio lazima uwe ni masterplan ya Wema... Madame ni msafi tangu zama hizo, lau angekuwa roho mbaya angewapotezea wabaya wake kwenye system, maana ana gig huko.
Madame ni mhumble, hana matata...
Very truDrama ziliwashnda Martin kadinda na petit man, Idris utaziweza wapi?
May you case Rest in Peace...Hahahahahaaa eti ni msafi. I rest my case. Bye
Sidhan ame i delete ame i deactivate tu km bieber alivyofanya akitaka kurudi ana activateAnamuiga Justin Baiber haha mwenzake kajitoa Instagram anajiweza hategemei ila idris nimemuona mjinga sana kudelete account yke yenye followers zaid ya 1M wakat sikuhiz zimekuja opportunity nyingi zakuingiz pesa thru mtandao kama ile binary waliyoenda kuzindua juz nae alialikwa yote nikutokana na followers wengi mtandaoni"
Tatzo lakuingiza mapenz na kaz..kupenda malaya nakuhis utambadilisha + utoto mwingi.
Unajua huyu dogo anakurupuka sana. Anafanya mambo bila kufikiria. sasa Safari hii itakula kwake. Kuna ule mkataba aliingia na ile kampuni ya "internet"(sina uhakika kama ni internet pekee ama ni kampuni ya simu) Kwaajili ya kuitangaza akachukua mkwanja. Sasa hajafikiria kama akifunga account yake anakiuka ule mkataba kwasababu hatokuwa na sehemu nyingine ya kuwatangaza. Hii itakula kwake soon ama afanye haraka kuifungua Account yake as soon as possible. Halafu hafikirii kwamba bila insta account yake anadhani nani angeenda kwenye show zake.? Huu ni utoto kabisa ila akikua Ataacha. Nasikia huwa anasoma soma thread zinazomuhusu humu katika forums basi naamini ujumbe kaupata na ataifungua account yake soon na kuacha utotoIdris tatizo utoto mwingi.
wakijibu uniquote....umbea suna babu shilawadu foreveeerSasa kama anaitwa shemeji lakini anakula kwa macho, alimpaje ile mimba Wema?
hiv kati ya wema nani anamshobokea sana mwenziePoleni sana. Diamond has never needed Wema wala mashabiki wa Wema. Zile campaign za team Wema za kuto kumpigia kura Diamond na kumpigia Davido last year viliishia wapi? Diamond will remain Diamond and on top of his game, and Wema's fans will remain delusional souls.
kasema wema haendagi za kwake....jibu la kitoto kabisa....ila wema mbya jamani kwaiyo hampi kei idriss cku izi? anampa nani sasa....Juzi alikataa kwenda Escape One anadai yeye si shemeji.
hiv kati ya wema na mond kwa sasa iv nani anamshobokea sana mwenzie???Wema ni Mama Mlezi wa Bongo Movies na Watoto wa Bongo Fleva, kujenga nae uhasama wowote, popote nikutafuta kupotea mazima...
Kaka Simba kaona nyota inafifia ameanza kutafuta ushoga kwa Godmother!