nyuklia Member Joined Oct 15, 2016 Posts 45 Reaction score 41 Oct 19, 2016 #1 Wale wa MU BAF tutambuane hapa nakujuzana mambo ya hapa na pale kuhusu MU
willy ze great JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 1,086 Reaction score 1,335 Oct 20, 2016 #2 Chuo ukiingia tu utadhani umeingia saudi arabia kanzu na hijab nikab na msikiti humo humo .