Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
it could be that he was killed by the jealous boyfriend....huyu jamaa hata kama tunamwombea mema, alikuwa anafanya ka ukora flani...sielewi vile jamaa alienda pekee yake kule roysambu bila hata protection...
it could be that he was killed by the jealous boyfriend....huyu jamaa hata kama tunamwombea mema, alikuwa anafanya ka ukora flani...sielewi vile jamaa alienda pekee yake kule roysambu bila hata protection...there was no communication to the family or to work members that he had gone there...then his car is found somewhere in a plot in Roysanmbu...a whole ICT manager anafanya nini roysambu kama si mpango wa kando...
It is very possible. Akiwa na maboyz wake, why not?Hiyo haiwezekani, hizo ni spin tu wamemua na huyo binti ili kufunika mambo.
Boyfriend gani atamshika jamaa huyo Chris amtoe kwenye gari alipaki gari vizuri harafu akawaue hao wawili huko porini bila ya hao wawili kupiga hata kelele? Walim hijack hao wakapeleka huko gari na yeye wakaenda kumsurubisha na kumtupa waliko mtupa.
Aisee nchi yenu imejaa ukora na wakora. Anyway the choice is yours and your destiny lies within your hands.it could be that he was killed by the jealous boyfriend....huyu jamaa hata kama tunamwombea mema, alikuwa anafanya ka ukora flani...sielewi vile jamaa alienda pekee yake kule roysambu bila hata protection...there was no communication to the family or to work members that he had gone there...then his car is found somewhere in a plot in Roysanmbu...a whole ICT manager anafanya nini roysambu kama si mpango wa kando...
Hakuna hiyo kitu mzee.. Uhuruto washafanya yao.. Boyfriend akamuue mtu nyeti kama huyo?It is very possible. Akiwa na maboyz wake, why not?
But, kama hakuwa na security...?Hakuna hiyo kitu mzee.. Uhuruto washafanya yao.. Boyfriend akamuue mtu nyeti kama huyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
it could be that he was killed by the jealous boyfriend....huyu jamaa hata kama tunamwombea mema, alikuwa anafanya ka ukora flani...sielewi vile jamaa alienda pekee yake kule roysambu bila hata protection...there was no communication to the family or to work members that he had gone there...then his car is found somewhere in a plot in Roysanmbu...a whole ICT manager anafanya nini roysambu kama si mpango wa kando...
Wewe jamaa ulisha ondolewa malinda jamani. Kaeni na Jubilee yenu.It is very possible. Akiwa na maboyz wake, why not?
hivi nikuulize, umeiona cctv yenyewe? tuongee na facts na sio ushabik wa kijinga...tunajua watz mnachukia kenya ila kwa mambo sensitive kama haya, ni muhimu kuja na facts na sio ushabiki wa kipumbavu na chuki za peni mbili...Jubilee mnauwa alafu mnasema jealous boyfriend. Footage za CCTV zimetoka akiwa surrounded by three men. Wakaingia nae kwenye gari.
Kitongoji anapoishi Caro Ngumbu- Gachie Kiambu kinasifika kwa matukio ya ujambazi.
Gachie ipo nje kidogo ya jiji la Nairobi.
do u have facts? then explain the body of the female who was found near the guyHiyo haiwezekani, hizo ni spin tu wamemua na huyo binti ili kufunika mambo.
Boyfriend gani atamshika jamaa huyo Chris amtoe kwenye gari alipaki gari vizuri harafu akawaue hao wawili huko porini bila ya hao wawili kupiga hata kelele? Walim hijack hao wakapeleka huko gari na yeye wakaenda kumsurubisha na kumtupa waliko mtupa.
The public never payed attention such unlawful killings of alleged criminals by the police, more so when the said criminals belonged to the lower segment of the society.Hio ni MO imetumika na wauwaji wa watu washuhuri dunia nzima, oldest assassination trick in the book, you get killed together with a previously unknown woman and suddenly the in the eyes of the public people don't feel that sorry for you anymore, they public court then starts to have the concensus that maybe you were killed because you were guilty of something...
This is the same reason why when a muslim is killed then when we condem the police, they issue a statement that he/she was a notorious terrorist informer, suddenly the public seems to be okay with it..
When a suspected robber is killed and a gun "placed" besides him, suddenly, the ublic doesn't care what kind of person he was before he died, we just accept that he must have been guilty...
Same reason why me and you on the streets would join a mob justice topunish and even kill a suspected chicken thief even though 99% of the people beating up the guy never witnessed the suspect stealing the chicken....
In this regard, we are a broken society,
They started killing robbers on the spot, we let them
They started killing terrorist on the spot, fine
We as a society then took it upon ourselfs to kill robbers on the streets... and everyone seemed fine with it
They started torturing and killing suspected robbers and terrorist, still it was fine, as long as its not "me"
....
....
Now its a free for all , anyone can just pick up any number of people murder them and through them at the usual forest ... Even the extrajudicial killings that used to happen in the past was organised, its was properly executed with intent using chain of command, orders were issued and orders were followed.... But nowadays even junior officers take it upon themselves to execute these missions on their own without orders
Hivo mimi na wewe nani anaishi Kenya?? Detective walishapata footage kutoka maeneo tofauti hapo Nairobi ikionyesha movement ya Chris hadi anapotea. Nakuletea evidence cause naona wewe nikati ya 36 bloggers wa Uhuru.hivi nikuulize, umeiona cctv yenyewe? tuongee na facts na sio ushabik wa kijinga...tunajua watz mnachukia kenya ila kwa mambo sensitive kama haya, ni muhimu kuja na facts na sio ushabiki wa kipumbavu na chuki za peni mbili...
Cooked, utaamini je kama hiyo body ya woman imetolewa kwa chumba cha maiti na kulazwa hapo? Na kutoa shaka hiyo familia ya huyo biti ili report polisi kupotea kwake kabla?do u have facts? then explain the body of the female who was found near the guy
this is the era of fake news my frined...mimi since morning nimekuwa nikitazama habari kila upande NTV, KTN Citizen na sijaona habari hizo...sasa sijui wewe umetoa wapi? anyway, sina haja ya kujibishana ama kujadili swala hili...the truth will come out eventually...Hivo mimi na wewe nani anaishi Kenya?? Detective walishapata footage kutoka maeneo tofauti hapo Nairobi ikionyesha movement ya Chris hadi anapotea. Nakuletea evidence cause naona wewe nikati ya 36 bloggers wa Uhuru.