Idd Simba ahusishwa na ufujaji wa mabilioni


so utawala huu umuache?
 
Ajabu ni kwamba Rais bado anaweza kuendelea kumteua kuwa Mwenyekiti wa Bodi au Mjumbe wa Bodi kwenye mashirika mengine huku akiwa na rekodi mbaya ya utendaji iliyozungukwa na ubadhilifu kila mahali alikopita.
Kwenye lile sakata la UDA, JK (kupitia mwanae) alihusihwa na Simon Group. Sasa kama habari zile zilikuwa za kweli na haya yanayotokea sasa, pamoja nayo bado anateuliwa kushika nafasi zingine...naona ni suala la kuunganisha dots tu. 'Mrema amesema ni mtandao unaohusisha vigogo!
 
Nape zungumzia juu ya huyu kada wenu!watanzania tumemchoka sukari,uda,machinjio,shamba rukwa,NICOL vyote ni mabilioni
 

mzee iddi simba ana bahati sana ya kuishi hapa tanzania. Angekuwa china basi mpaka sasa angekuwa amashasaulika siku nyingi sana.
 

Ndo aliyeanzisha soko huria la uwakala na makapuni ya meli bila kulinda shirika kubwa lilokuwa na amali nyingi na mtaji mkubwa NASACO kufa kifo kitakatifu huku akifumbiwa macho hivihivi.
 
This guy stinks corruption! Mhhh! Kila kashfa lazima atie mkono wake??????
 
Nchi ishauzwa hii tokea zamani, wajanja ndio haooo wanachukua vyao kiulaiiiini kabisa. Nyie kalagheni bao maisha bora kwa kila mdanganyika yanawezeka chukua hatua.
 
RIP. Kuanzia wakala wa meli, bank ya Meridian na kwingine.
 
ukisikia sirikali ndiye kama simba...maana yeye kila sehemu yenye ulaji alikuwepo

anko Bashite ndiye sawa na mnyama Simba wa nyakati hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…