B BUDULU Member Joined Dec 8, 2017 Posts 42 Reaction score 17 Feb 15, 2019 #1 Jitahidini kurekebisha sehemu ambako mabomba yaanaachia maji. kuna sehemu zinatiririsha maji kwa kitambo kirefu sana . jitahidini kufuatilia na kurekebisha mapema ni kero mitaani.
Jitahidini kurekebisha sehemu ambako mabomba yaanaachia maji. kuna sehemu zinatiririsha maji kwa kitambo kirefu sana . jitahidini kufuatilia na kurekebisha mapema ni kero mitaani.