Iam back baada ya likizo ndefu

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Wooote pigeni nduuuuuru.....aisee likizo kumbe tamu kweri.....muda wote niko na mashori hao wamepiga vithong watamu rangi za chokoleti aisee....

anko snoop killed this shit....way back life lilipokuwa life not nowadays wajinga wajinga kibao JF wanaume kama wanawake umbea umbea.....bog dudes who smoke shit hawezi kuwa mbwiga mbwiga....songi la ukweli dak 3:01 anko kafunika

Damn memories like fawk old song but still slaps...

 
Last edited by a moderator:
Nilidhani mkuu umeshapata visa ya kwa Obama huko. Kama bado MziziMkavu anasaidia raia kuwapeleka Europe.
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nilirudi jana kutoka likizo ya wiki moja ,karibu mku
 
Welcome back Yo Yo ila punguza lugha kali mkuu. Mbona utasomeka tu? Huna haja ya kuwa mkali kwa kiumbe ambaye hata hujawahi kumuona physically.
Wengine unawapotezea tu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Welcome back Yo Yo ila punguza lugha kali mkuu. Mbona utasomeka tu? Huna haja ya kuwa mkali kwa kiumbe ambaye hata hujawahi kumuona physically.
Wengine unawapotezea tu mkuu.
Aisee.....mbona sikuelewi arifu......kuna lugha kali hapa?.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…