I thnk am turning into a play boy..

Mr Eggo

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
2,027
Reaction score
1,052
Wasalaam wanajamvi....it has been a while ila naamin sote tu wazima...

Baada ya kuamua kua-single boy maisha yalienda poa sana..na garama za maisha zikapungua....

Kihoja ni kua baada ya kukaa mda mrefu bila kufanya tendo nkaona sio mbaya nkatafta pakujishikiza (pa kupata huduma ile)....na kwa kwel nilifanikiwa nkawa nafanya yang...wakat nkiwa naendelea na kamchezo kuna mwngne akatokea nkamaliza.....

Mpaka naandika apa niko 3 steps ahead na kuna ambae kajichanganya ck 2 iz napumzika........

Staki kuamin narudi kwenye tabia za ajab bt i can smel it..'a play boy' z soon to arrive...
 
sasa kwani kuna tatizo gani kijana sisi wanaume mama yetu ni moja so tabia zetu zinafanana kikubwa kuwa makini tumia kinga kwa sana maisha haya mafupi sana.
 
Hongera sana kijana.

We mjanja nakuaminia kwa ujinga unaofanya ukidhani sifa.
 
taarifa hii iwafikie madada wote wa mujini.
 
muombe Mungu Msamaha Na Uache Ushetani.
**apo Ulipo Upo Njia Panda Ya Jehanum Sasa Ukijichanganya Tu Umeenda**
 
Kila la kheri mkuu.... Mungu akutangulie ktk safari yako
 
Na ukiukwaa usisite kututaarifu..
 
Asante kwa marejesho, biashara inaenda vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…