Mkuu utani wa mpira usikufanye unielewe vibaya. Sio JF bali mimi ni mtu mzima na heshima zangu na kama utani wangu umekukwaza nakuomba msamaha. Life is too short to have grudges.
Mkuu utani wa mpira usikufanye unielewe vibaya. Sio JF bali mimi ni mtu mzima na heshima zangu na kama utani wangu umekwaza nakuomba msamaha. Life is too short to have grudges.