I phone 6 +

Mkuu hiyo bei na aina ya simu ninayoijua inatia shaka kidogo
 
Ndio hizi hizi aifoni wanazotutambiaga nazo humu au[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Yaaani hii simu sio kwamba tuu bei ni cheee ila kwa battery healthy hioo inaonesha bado ni mpya, kama imetumika haizidi 6 months at maximum, cha msingi hapo mnunuaji atumie akili yake vzr, pia muuzaji aseme kbsa km ni unlocked, jailbroken/refublished au vip
reyzzap ebu kuja pande hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…