I find a job'

Mama Helen hajambo?
 
Ohoo naona umejianika fatuma
Naona jf huijui vizur wewe

Kuna ma predators humu na kila species za ma wolf wanakua wanawinda watu wa aina yako 24/7

Usipokua makin utaipata kazi

Kila la kheir
 
Daaah hii lugha hii iliyokuja na meli ni ngumu sanaaa, heading I find a job inakuwa kama umepata kazi teyari. Harafu ungetumia motivation language ili kumvuta anaeisoma kama akuone you are so unique. Katika nyanja hii ya ajira ya ushindani ushawishi unahitajika sana ili kumvuta mwajiri.
 
Hata hii iliyokuja na mtumbwi imekushinda hapo kwenye "harafu". Umemshauri vizuri
 
Ohoo naona umejianika fatuma
Naona jf huijui vizur wewe

Kuna ma predators humu na kila species za ma wolf wanakua wanawinda watu wa aina yako 24/7

Usipokua makin utaipata kazi

Kila la kheir
Ma-vampire
 
Dah haya bana. ILa cjui kama nawewe siyo mmoja ya Wale wanaoomba kazi kupitia blog za ajira.
 
Ohoo naona umejianika fatuma
Naona jf huijui vizur wewe

Kuna ma predators humu na kila species za ma wolf wanakua wanawinda watu wa aina yako 24/7

Usipokua makin utaipata kazi

Kila la kheir
halafu unaweza dhani ni mgeni kumbe li-vampire la humu la mda mrefu linawinda VI-BEN10 na Madanga ngoma ni pale mnapoonana mnakimbiana kabla ya kusalimiana
 
"I FIND A JOB" "NATAFUTA KAZI" direct translation ......."I have diploma"......sema I have a diploma in.......expression yako ni mhimu katika kupata ajira
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…